Unajua namna Yoga inavyoweza kukusaidia kiafya?To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video01.07.20241 Julai 2024Nina uhakika unajua kitu kuhusu mazoezi ya Yoga, lakini unajua umuhimu wake kiafya? Kuna mengi unayoweza kujifunza ama kumshirikisha mwenzako kuhusu mazoezi haya. Tizama video hii kujifunza zaidi. #Kurunzihttps://p.dw.com/p/4hkZeMatangazo