SiasaUkraine
Ukraine yaamua kuendelea kuutetea mji wa Bakhmut
11 Machi 2023Matangazo
Matamshi ya msaidizi wa rais wa Ukraine Volodmy Zelensky, Mykhailo Podolyak, ni ishara ya hivi karibuni zaidi ya kugeuka kwa msimamo wa Ukraine wiki hii kuendelea kuutetea mji huo mdogo ulioko katika eneo lake la Mashariki, eneo ambalo limekuwa na mapigano mabaya zaidi katika vita hivyo wakati Urusi ikijaribu kupata ushindi wake wa kwanza mkubwa katika muda wa zaidi ya nusu mwaka.