Limekuwa ni suala linaloepukwa sana kwenye mataifa mengi duniani, lakini kuwaruhusu watu kuwa na uraia wa nchi zaidi ya moja kunatajwa kuwa na faida zake.
https://p.dw.com/p/17vcZ
Matangazo
Oummilkheir na namna Ujerumani inavyolichukulia suala la wananchi kuwa na uraia wa nchi zaidi ya moja.