1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ugonjwa ambao haujulikani wagunduliwa Tanzania

Prosper Kwigize (HON)17 Machi 2023

Tanzania imeripoti kutokea kwa ugonjwa ambao haujafahamika ambao tayari umechukua maisha ya watu 5 na wengine kadhaa wakiugua na kupata huduma ya matibabu mkoani Kagera. Mwandishi wetu Prosper Kwigize alituandalia ripoti ifuatayo hii akimnukuu mganga mkuu wa serikali aliyesema katika taarifa yake kwamba ugonjwa huo haujafahamika na serikali imeanza kazi ya kufanya ufuatiliaji.

https://p.dw.com/p/4Opc3