Watoto wa kike wanaotokea kwenye familia dunimara hukosa kuhudhuria masomo wanapokuwa katika siku za hedhi kutokona na kukosa vifaa salama vya kujihifadhia kama taulo au pedi kama wengi wanavyoita.
Kwa wastani wasichana wanaripotiwa kukosa kuhudhuria masomo kuanzia siku 3 hadi tano kwa mwezi, yani kwa mwaka ni siku 36 hadi 60 hali inayochangia kutofanya vizuri katika masomo yao.