1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uganda: Ripoti ya Shirika la Haki za Binaadamu kuhusu uchimbaji wa madini

3 Februari 2014

Kampuni zinazochimba dhahabu na marumaru kwenye eneo la Karamoja kaskazini mashariki mwa Uganda, zinalaumiwa na shirika la haki za binaadamu la Human Rights Watch kwa kutoziheshimu haki za wakaazi wa eneo hilo.

https://p.dw.com/p/1B22A
Uchimbaji wa Madini nchini Uganda walaumiwa na Shirika la haki za Binaadamu
Uchimbaji wa Madini nchini Uganda walaumiwa na Shirika la haki za BinaadamuPicha: HRW/Justin Purefoy

Kwenye ripoti iliyozinduliwa leo yenye kichwa cha “ Tutaishije hapa"? Hadhari za uchimbaji wa madini kwa haki za binaadamu kwenye eneo la Karamoja, kampuni hizi zinalaumiwa kwa kutumia ardhi ya wakaramojong bila kupata kibali chao na hata bila ya kufafanuwa nini wanachokifanya. Mwandishi wetu mjini Kampala Leylah Ndinda na taarifa zaidi. Kusikiliza taarifa hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Leyla Ndinda

Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi