1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchunguzi umefikia wapi kisa cha mshambuliaji Tanzania?

Sudi Mnette26 Agosti 2021

Sudi Mnette amezungumza na mwandishi wa DW mjini Dar es Salaam, Hawa Bihoga kuhusu hali ilivyo siku moja baada ya mshambuliaji mwenye silaha kufyetua hovyo risasi na kuwaua maafisa kadhaa wa polisi.

https://p.dw.com/p/3zVtK