1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchomaji Moto Misitu na mapori tengefu

2 Mei 2022

Uchomaji moto ovyo wa misitu ya hifadhi na maeneo yaliohifadhiwa kisheria umekuwa ukileta athari za kimazingira katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania. Kila mwaka majira ya kiangazi kuna matukio ya uchomaji moto hovyo misitu na mapori yanayosababisha hasara kubwa. Makala ya Mtu na Mazingira inaangazia mada hiyo na mwandaaji ni Alex Mchomvu.

https://p.dw.com/p/4Aifc