Ungana na Veronica Natalis kutoka huko Arusha nchini Tanzania ambaye katika makala Yetu Leo amezungumza na wataalamu juu ya suala zima la uboreshaji wa mabegu nchini Tanzania. Lina mana gani hili na hasa katika mchakato wa kukiboresha kilimo nchini Tanzania? Sikiliza.