1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Twiga Stars ya Tanzania yailemea Sudan Kusini 3-0 Cosafa

4 Oktoba 2021

Kina dada wa Tanzania Twiga Stars wamefuzu katika nusu fainali ya mashindano ya COSAFA baada ya kuwacharaza Sudan Kusini katika mechi yao iliyochezwa Jumatatu huko Tanzania. Msikilize Mhindi Joseph kutoka Tanzania.

https://p.dw.com/p/41FIk