You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Kivuli cha Ukoloni wa Ujerumani
Thelma Mwadzaya
Ruka sehemu inayofuata Taarifa na Thelma Mwadzaya
Taarifa na Thelma Mwadzaya
Ongezeko la maambukizi ya VVU miongoni mwa makahaba Kenya
Ongezeko la maambukizi ya VVU miongoni mwa makahaba Kenya
Idadi ya watu walio katika hatari zaidi kuambukizwa virusi vya HIV ambao ni wanawake na wanaume wanaofanya biashara ya ngono, wanaotumia dawa za kulevya na wanaofanya mapenzi ya jinsia moja imeongezeka tangu tathmini ya kwanza ya kitaifa kufanyika 2012. Thelma Mwadzaya analivalia njuga suala hili leo katika makala haya ya Afya Yako. Sikiliza.
Odinga azindua kampeni ya kuwania uongozi wa AU
Odinga azindua kampeni ya kuwania uongozi wa AU
Kiongozi huyo wa upinzani wa Kenya anashindana na wagombea wengine watatu wa kutoka Mauritius, Djibouti na Madagascar.
Maandamano Kenya yatatiza shughuli katika uwanja wa ndege
Maandamano Kenya yatatiza shughuli katika uwanja wa ndege
Operesheni kwenye uwanja wa kimataifa wa ndege wa JKIA, ziliathirika baada ya waandamanaji kutishia kuuvamia.
Kenya yapambana na wimbi la mauaji na miili kutelekezwa
Kenya yapambana na wimbi la mauaji na miili kutelekezwa
Kenya inapambana na wimbi jipya la mauaji ya wanawake na mshukiwa mkuu amekamatwa.
Kenya yapunguza bajeti kwa shilingi bilioni 177
Kenya yapunguza bajeti kwa shilingi bilioni 177
Kenya ilikumbwa na maandamano makubwa yaliyoandaliwa na vijana walioupinga muswada wa Fedha wa mwaka 2024/2025.
Shinikizo laiandama serikali ya Kenya kutuliza maandamano
Shinikizo laiandama serikali ya Kenya kutuliza maandamano
Rais William Ruto amejizuwia kufafanua mabadiliko atakayoyafanya lakini amesisitiza ipo haja ya kuwepo mageuzi.
Onesha taarifa zaidi
Nenda ukurasa wa mwanzo