1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania yazindua mchakato wa Dira ya Taifa ya Maendeleo

Deo Kaji Makomba3 Aprili 2023

Makamu wa Rais wa Tanzania Philip Mpango amezindua mchakato wa maandalizi ya Dira ya Taifa ya maendeleo ya mwaka 2050 akisema masikini wa kipato na lishe duni miongoni mwa jamii bado ni vizingiti vinavyodumaza maendeleo ya taifa hilo.

https://p.dw.com/p/4PeKi