1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania yahusishwa na usafirishaji haramu wa binadamu

Florence Majani22 Julai 2022

Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi zenye matukio ya usafirishaji haramu wa binadamu, hasa kwa upande wa watoto wenye ulemavu na wasichana. Hayo ni kwa mujibu wa ripoti ya shirika moja la kutetea haki za baindamu wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupinga usafirishaji haramu wa binadamu, yakitarajiwa kufanyika Julai 30 mwaka huu. Sikiliza ripoti ya Florence Majani.

https://p.dw.com/p/4EWoS