UchumiAfrikaTanzania yafanya majaribio ya treni ya SGRTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoUchumiAfrikaYakub Talib26.02.202426 Februari 2024Tanzania imefanya majaribio ya kwanza ya treni ya mwendo kasi inayotumia umeme kati ya jiji la Dar es Salaam na mkoa jirani wa Morogoro. Mamlaka ya usafiri wa reli TRC inasema itaanza kutoa huduma hiyo kwa ukamilifu kufikia mwezi Julai.https://p.dw.com/p/4cugbMatangazo