1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania kuwapa hadhi maalum watu wenye asili ya taifa hilo wanaoishi ughaibuni "Diaspora"

Deokaji Makomba30 Mei 2023

Serikali ya Tanzania imesema iko katika hatua za mwisho za maandalizi ya kuwapatia hadhi maaalum watu wenye asili ya taifa hilo wenye uraia wa nchi nyingine na wale waliobadilisha uraia wao maarufu kama "Diaspora".

https://p.dw.com/p/4RyhY