1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania kuendesha kampeni ya chanjo ya Polio kwa watoto

Grace Kabogo19 Mei 2022

Serikali ya Tanzania imeanzisha kampeni ya kutoa chanjo ya ugonjwa wa kupooza, Polio kwa watoto milioni 15 walio na umri chini ya miaka mitano. Hata hivyo, baadhi ya wananchi hawana uwelewa wa kutosha juu ya ugonjwa huo unaosambazwa na virusi hatari. Grace kabogo amezungumza na Dokta, Benela Xavery, Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam.

https://p.dw.com/p/4BVqy