1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: Juhudi za viziwi kujikwamua kiuchumi

Veronica Natalis
2 Februari 2024

Lugha imekuwa ni kikwazo kikubwa katika kuwasiliana na jamii wanayoishi kwa viziwi, hili ni chagizo katika kutangamana kiuchumi na kijamii, lakini pia kuonesha uthubutu wa kile wanachoweza kukifanya kwenye jamii yao na kujipatia kipato kitachokidhi mahitaji muhimu.

https://p.dw.com/p/4by71
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio