JamiiTamasha la Urithi wa Utamaduni BagamoyoTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamii29.10.202129 Oktoba 2021Tamasha hilo la siku tatu limeanza kule Bagamoyo Tanzania na linatarajiwa kuwavutia zaidi ya watu elfu sitini wakiwemo washiriki kutoka mataifa mengine mfano India. Ahmad Juma anasimulia zaidi kwenye #Kurunzihttps://p.dw.com/p/42LhAMatangazo