Timu ya taifa ya soka ya Tanzania Taifa Stars imeangukia pua pambano la kwanza la kufuzu mashindano ya kombe la mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani, CHAN, Huku simba Queens wakipepea katika mashindano ya CECAFA na kufuzu kwa kombe la mabingwa barani Afrika. Sikiliza ripoti ya sports Lady Naomi William kutoka Dar es Salaam. (Pichani)