Aliyekuwa rais wa Marekani Barack Obama aikosoa serikali ya Trump kuhusu jinsi inavyoshughulikia janga la virusi vya corona, maelfu ya watu wafanya maandamano nchini Ujerumani na idadi ya visa vya maambukizi ya virusi vya corona iliyothibitishwa nchini Brazili yashinda ile ya Uhispania na Italia.