1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya asubuhi 22.09.2019

22 Septemba 2019

Kundi la kimataifa la kutetea haki za binadamu latoa wito kwa serikali nchini Misri kulinda haki ya watu wanaoandamana kwa amani, daktari aliyeshinda tuzo ya amani ya Nobel Denis Mukwega kutoka Congo, azindua hazina kwa lengo la kuwafidia manusura wa ghasia kote ulimwenguni na Jeshi la wanamapinduzi wa Iran laonya kuwashambulia kundi lolote litakaloleta uchokozi dhidi ya nchi hiyo.

https://p.dw.com/p/3Q1v0