1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya asubuhi 15.02.2024

V2 / S12S15 Februari 2024

Mtu mmoja ameuawa na takribani wengine 22 kujeruhiwa katika shambulizi la ufyatuaji risasi nchini Marekani //Urusi na China zatofautiana na Marekani na Uingereza juu ya mashambulizi ya waasi wa Kihuthi//Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken ameanza ziara ya barani Ulaya.

https://p.dw.com/p/4cPdy