VIDOKEZO:
Makamu wa rais wa Marekani Mike Pence akataa kutumia ibara ya 25 ya katiba ya nchi hiyo kumuondoa Rais Trump madarakani://
Rais wa Uganda Yoweri Museveni afungia mitandao ya kijamii nchini humo kuelekea uchaguzi mkuu hapo kesho.//
Waziri wa mambo ya nchi za nje Mike Pompeo aituhumu Iran kwa kuunga mkono mtandao wa kigaidi al-Qaeda.