1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari ya asubuhi : 10.03.2023

V2 / S12S10 Machi 2023

Watu kadhaa wanaripotiwa kupoteza maisha kwenye shambulio la ufyatuaji risasi katika mji wa kaskazini mwa Ujerumani wa Hamburg. //Urusi yaishambulia Ukraine kwa makombora yenye mwendo wa kasi zaidi// Waziri Mkuu wa zamani wa Malaysia ashitakiwa kwa matumizi mabaya ya madaraka na utakatishaji wa fedha.

https://p.dw.com/p/4OTyG