1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari ya Asubuhi 05.09.2023

Josephat Charo
5 Septemba 2023

Marekani imesema kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un anatarajia kukutana na rais wa Urusi Vladimir Putin. Jumuiya ya kiuchumi ya Afrika ya Kati ECCAS yasitisha uanachama wa Gabon. Na makamanda wawili wa jeshi wakamatwa kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kodemokrasia ya Congo.

https://p.dw.com/p/4VyKT