Katika taarifa ya habari asubuhi leo: Makaburi ya watu wengi yagundulika katika mji wa Aleppo// Raia 30 wauwawa na magaidi wa IS nchini Syria//Sehemu za ndege ya Urusi iliyoanguka zapatikana baharini na serikali yathibitisha kuwa ajali hiyo haikutokana na kitendo cha ugaidi