Brazil itafanya duru ya pili ya uchaguzi Oktoba 30 baada ya wagombea wawili wakuu kushindwa kupata zaidi ya asilimia 50 ya kura zinazohitajika//Kiongozi wa kijeshi Burkina Faso, Paul-Henri Damiba amekubali kujiuzulu baada ya maafisa wa kijeshi kutangaza kumuondoa madarakani//Umoja wa Mataifa umesema pande zinazohasimiana Yemen zimeshindwa kufikia makubaliano ya kuongeza muda wa kusitisha mapigano