Viongozi wa dunia wajitolea kutamatisha mwingilio wowote wa kimataifa katika vita nchini Libya, takriban wafungwa 80 wengi wao wakiwa wanachama wa genge kubwa la walanguzi wa mihadarati na silaha kutoka Brazil watoroka gereza moja nchini paraguay na rais wa Yemen ashtumu shambulizi lililotekelezwa na waasi wa kihouthi dhidi ya kambi moja ya kijeshi ya serikali.