Rais wa Tanzania, John Magufuli amefariki dunia jana jioni (17.03.2021) kutokana na maradhi ya moyo, akiwa na umri wa miaka 61, na taifa hilo limeanza maombolezo ya siku 14. Msikilize Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akimzungumzia Rais Magufuli katika mahojiano yake na Sudi Mnette.