1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Simba yaiadhibu Geita Gold 5-0

19 Desemba 2022

Vigogo Simba SC wameanza kwa kishindo raundi ya pili ya ligi kuu Soka Tanzania Bara kwa kuibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya wenyeji, Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Mhindi Joseph (Pichani) na maelezo zaidi.

https://p.dw.com/p/4LBPy