1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Simba na Yanga zajinoa mechi za klabu bingwa

Josephat Charo
12 Septemba 2022

Wekundu wa Msimbazi Simba na Dar Young Africans Yanga sasa zinaanganzia mechi za mkondo wa pili ligi ya mabingwa barani Afrika. Na Timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania, Twiga Stars imekamilisha michuano ya COSAFA katika nafasi ya tatu.

https://p.dw.com/p/4GkH5