JamiiSimba azaa kwa mbegu za kupandikizaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiSudi Mnette13.09.201813 Septemba 2018Historia imewekwa nchini Afrika Kusini baada ya simba kuzaa watoto wawili kwa kupitia njia ya kupandikiza mbegu. Hii ni hatua ya kwanza na kubwa iliyofanywa na wataalam wa mifugo duniani katika kipindi hiki ambacho, idadi ya simba inapungua.https://p.dw.com/p/34p8jMatangazo