Leo ni siku ya lugha ya mama ulimwenguni lakini inazidi kukumbwa na vitisho mbalimbali na hata kutoweka. Kauli mbiu ya mwaka huu ni "Elimu kwa lugha nyingi- nguzo ya kujifunza kati ya vizazi na vizazi." John Juma amezungumza na mtaalamu wa lugha kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam nchini Tanzania Dkt Khadija Jilala kuhusu thamani ya lugha ya mama.