JamiiSiku ya idadi ya watu dunianiTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamii12.07.202412 Julai 2024Idadi ya watu duniani inatarajiwa kuongezeka kwa takriban bilioni 2 Ndani ya miaka 30 ijayo. Afrika inaongoza kwa ongezeko la watu duniani. Kiwango cha juu cha uzazi na kupungua kwa viwango vya vifo vya watoto kunachochea mwenendo huu. https://p.dw.com/p/4iBt9Matangazo