shule ya dimba ya rudi Völler
30 Julai 2007ocha mtu hujipatia mafunzo tofauti,kwavile nyumbani unajua ni mafunzo gani unayopata.Isitoshe, ni fursa ya kucheza dimba na chipukizi wengine kabisa.” Asema sarah.Kwa mfano amepata fursa ya kucheza na Philipp Scopp kutoka Wittenberg,mkoa wa sachsen-Anhalt wa Ujerumani. Chipukizi huyu wa miaka 16 pia anainukia kuwa staid mkubwa wa dimba.hiio ni mara ya tatu anahudhuria shule hii. “Mtu huangalia kushoto halafu kulia,kila mahala watu wacheza dimba .Mtu husikia kelele upande ule ,mtu humsikia mwalimu akizungumza nah ii yafurahisha na mtu daima anacheka.” Kocha mashuhuri wa Bundesliga –aliewahi kuzifunza Bochum na FC cologne,Peter Neuerurer asema: “Chipukizi hawa wanajifunza mbinu halisi za kucheza dimba na wanatimbua soka barabara .Wanafahamishiwa kuwa dimba ni mchezo wa timu na kuna mambo Fulani mchezaji anapaswsa kuyajua na kuyadhibiti nah ii ndio sababu tuko shuleni.” Wakati wa mapumziko ya chakula cha mchana ni wakati wa kujipashahabyari kinapita nini katika ulimwengu wa mpira.Philipp anajijuvya kupitia mtandao mambo yakoje katika Bundesliga na vipi klabu yake Bayern Munich ilivyocheza. Je, kuna m apya Philipp ? La, kwa kweli ni yale yale wiki hii.chipukizi mwengine Pienar anaangalia kunapita nini Uingereza. Sarah nae anapitisha wakati huu kutibiwa maumivu.Mtaalamu wa matibabu Horst Sulmer anamshughulikia. Anamshauri labda atumie viatu vyengine vya kuchezea kwani hivyo vyamuumiza. Nasaha aliopewa Sarah imemfaa na sasa aweza kurudi tena uwanjani kwa mazowezi.wazee wake wafurahia hayo,kwani na wao daima wako nje ya chaki ya uwanja wa shule hiyo wakiangalia maendeleo ya motto wao.Kwani baba wa sarah, Uwe Schmidt anamuongoza mwanawe katika klabu ya nyumbani Ujerumani ya Tus Wörrstadt. Sarah akicheza dimba tangu umri wa miaka 4 na sasa yuko mbali katika kusakata dimba. Siku ya mwisho ya mafunzo katika shule hii ya Rudi Völler,wachezaji wote chipukizi wamejiwinda barabara kwa mashindano ya mwisho yanaingiza timu kudhaa.Pia wazee wote wamefika kuwaangalia chipukizi wao na kujua wiki ya mafunzo imeleta maendeleo gani kwa watoto wao. Wakati Sarah katika mpambano huu wa mwisho akicheza kwa hadhari ili asiumie,kwavile msimu ujao anataka kucheza katika Ligi ya mikoa na kuendelea ,kuichezea timu ya taifa ya chipukizi,Philipp amevinjari kuonesha kila kitu alichojifunza wiki hii nzima na kutamba uwanjani.Ingawa hakuna wakaguzi wanaosaka mastadi wa siku zijazo,lakini walimu wao wana mawasiliano na timu mashuhuri kuweza kutoa habari muangalieni Fulani. Kwani, tulitaja kocha Peter Neururer binafsi ni kocha wa Bundesliga na Rudi Völler ni mkurugenzi wa Bayer Leverkusen-mojawapo ya timu zinazowalea chipukizi. Shule za chipukizi leo ni muhimu ,kwani ukitaka kujua nguvu za timu yoyote ya taifa ya dimba angalia chipukizi wake. Stadi wa zamani wa Ujerumani Rudi Völler na sasa mkurugenzi wa spoti wa klabu ya Bundesliga –Bayer Leverkusen, kitambo sasa amefungua shule ya dimba kwa chipukizi kati ya umri wa miaka 6 na 18. Shule hiyo iko Cala Millor,kisiwani mallorca nchini Spian. Milango yake ni wazi kwa yeyote yule na awezae kutoa euro 172 kwa wiki.Wiki 22 zatosha kwa mafunzo ya mwaka. Miongoni mwa wanafunzi wa shule hiyo ni msichana wa miaka 15 Sarah Schmitt kutoka Mainz,Ujerumani.Sarah tayari ni mchezaji wa timu ya taifa ya Ujerumani ya chipukizi.Kwake yeye kujiunga na shule hii ni mkubadili tu mafunzo kutoka yale apatayo nyumbani.Anasema: “Kwa kuwa na kocha mtu hujipatia mafunzo tofauti,kwavile nyumbani unajua ni mafunzo gani unayopata.Isitoshe, ni fursa ya kucheza dimba na chipukizi wengine kabisa.” Asema sarah.Kwa mfano amepata fursa ya kucheza na Philipp Scopp kutoka Wittenberg,mkoa wa sachsen-Anhalt wa Ujerumani. Chipukizi huyu wa miaka 16 pia anainukia kuwa staid mkubwa wa dimba.hiio ni mara ya tatu anahudhuria shule hii. “Mtu huangalia kushoto halafu kulia,kila mahala watu wacheza dimba .Mtu husikia kelele upande ule ,mtu humsikia mwalimu akizungumza nah ii yafurahisha na mtu daima anacheka.” Kocha mashuhuri wa Bundesliga –aliewahi kuzifunza Bochum na FC cologne,Peter Neuerurer asema: “Chipukizi hawa wanajifunza mbinu halisi za kucheza dimba na wanatimbua soka barabara .Wanafahamishiwa kuwa dimba ni mchezo wa timu na kuna mambo Fulani mchezaji anapaswsa kuyajua na kuyadhibiti nah ii ndio sababu tuko shuleni.” Wakati wa mapumziko ya chakula cha mchana ni wakati wa kujipashahabyari kinapita nini katika ulimwengu wa mpira.Philipp anajijuvya kupitia mtandao mambo yakoje katika Bundesliga na vipi klabu yake Bayern Munich ilivyocheza. Je, kuna m apya Philipp ? La, kwa kweli ni yale yale wiki hii.chipukizi mwengine Pienar anaangalia kunapita nini Uingereza. Sarah nae anapitisha wakati huu kutibiwa maumivu.Mtaalamu wa matibabu Horst Sulmer anamshughulikia. Anamshauri labda atumie viatu vyengine vya kuchezea kwani hivyo vyamuumiza. Nasaha aliopewa Sarah imemfaa na sasa aweza kurudi tena uwanjani kwa mazowezi.wazee wake wafurahia hayo,kwani na wao daima wako nje ya chaki ya uwanja wa shule hiyo wakiangalia maendeleo ya motto wao.Kwani baba wa sarah, Uwe Schmidt anamuongoza mwanawe katika klabu ya nyumbani Ujerumani ya Tus Wörrstadt. Sarah akicheza dimba tangu umri wa miaka 4 na sasa yuko mbali katika kusakata dimba. Siku ya mwisho ya mafunzo katika shule hii ya Rudi Völler,wachezaji wote chipukizi wamejiwinda barabara kwa mashindano ya mwisho yanaingiza timu kudhaa.Pia wazee wote wamefika kuwaangalia chipukizi wao na kujua wiki ya mafunzo imeleta maendeleo gani kwa watoto wao. Wakati Sarah katika mpambano huu wa mwisho akicheza kwa hadhari ili asiumie,kwavile msimu ujao anataka kucheza katika Ligi ya mikoa na kuendelea ,kuichezea timu ya taifa ya chipukizi,Philipp amevinjari kuonesha kila kitu alichojifunza wiki hii nzima na kutamba uwanjani.Ingawa hakuna wakaguzi wanaosaka mastadi wa siku zijazo,lakini walimu wao wana mawasiliano na timu mashuhuri kuweza kutoa habari muangalieni Fulani. Kwani, tulitaja kocha Peter Neururer binafsi ni kocha wa Bundesliga na Rudi Völler ni mkurugenzi wa Bayer Leverkusen-mojawapo ya timu zinazowalea chipukizi. Shule za chipukizi leo ni muhimu ,kwani ukitaka kujua nguvu za timu yoyote ya taifa ya dimba angalia chipukizi wake.
Stadi wa zamani wa Ujerumani Rudi Völler na sasa mkurugenzi wa spoti wa klabu ya Bundesliga –Bayer Leverkusen, kitambo sasa amefungua shule ya dimba kwa chipukizi kati ya umri wa miaka 6 na 18.
Shule hiyo iko Cala Millor,kisiwani mallorca nchini Spian.
Milango yake ni wazi kwa yeyote yule na awezae kutoa euro 172 kwa wiki.Wiki 22 zatosha kwa mafunzo ya mwaka.
Miongoni mwa wanafunzi wa shule hiyo ni msichana wa miaka 15 Sarah Schmitt kutoka Mainz,Ujerumani.Sarah tayari ni mchezaji wa timu ya taifa ya Ujerumani ya chipukizi.Kwake yeye kujiunga na shule hii ni mkubadili tu mafunzo kutoka yale apatayo nyumbani.Anasema:
“Kwa kuwa na kocha mtu hujipatia mafunzo tofauti,kwavile nyumbani unajua ni mafunzo gani unayopata.Isitoshe, ni fursa ya kucheza dimba na chipukizi wengine kabisa.”
Asema sarah.Kwa mfano amepata fursa ya kucheza na Philipp Scopp kutoka Wittenberg,mkoa wa sachsen-Anhalt wa Ujerumani.
Chipukizi huyu wa miaka 16 pia anainukia kuwa staid mkubwa wa dimba.hiio ni mara ya tatu anahudhuria shule hii.
“Mtu huangalia kushoto halafu kulia,kila mahala watu wacheza dimba .Mtu husikia kelele upande ule ,mtu humsikia mwalimu akizungumza nah ii yafurahisha na mtu daima anacheka.”
Kocha mashuhuri wa Bundesliga –aliewahi kuzifunza Bochum na FC cologne,Peter Neuerurer asema:
“Chipukizi hawa wanajifunza mbinu halisi za kucheza dimba na wanatimbua soka barabara .Wanafahamishiwa kuwa dimba ni mchezo wa timu na kuna mambo Fulani mchezaji anapaswsa kuyajua na kuyadhibiti nah ii ndio sababu tuko shuleni.”
Wakati wa mapumziko ya chakula cha mchana ni wakati wa kujipashahabyari kinapita nini katika ulimwengu wa mpira.Philipp anajijuvya kupitia mtandao mambo yakoje katika Bundesliga na vipi klabu yake Bayern Munich ilivyocheza.
Je, kuna m apya Philipp ? La, kwa kweli ni yale yale wiki hii.chipukizi mwengine Pienar anaangalia kunapita nini Uingereza.
Sarah nae anapitisha wakati huu kutibiwa maumivu.Mtaalamu wa matibabu Horst Sulmer anamshughulikia.
Anamshauri labda atumie viatu vyengine vya kuchezea kwani hivyo vyamuumiza.
Nasaha aliopewa Sarah imemfaa na sasa aweza kurudi tena uwanjani kwa mazowezi.wazee wake wafurahia hayo,kwani na wao daima wako nje ya chaki ya uwanja wa shule hiyo wakiangalia maendeleo ya motto wao.Kwani baba wa sarah, Uwe Schmidt anamuongoza mwanawe katika klabu ya nyumbani Ujerumani ya Tus Wörrstadt.
Sarah akicheza dimba tangu umri wa miaka 4 na sasa yuko mbali katika kusakata dimba.
Siku ya mwisho ya mafunzo katika shule hii ya Rudi Völler,wachezaji wote chipukizi wamejiwinda barabara kwa mashindano ya mwisho yanaingiza timu kudhaa.Pia wazee wote wamefika kuwaangalia chipukizi wao na kujua wiki ya mafunzo imeleta maendeleo gani kwa watoto wao.
Wakati Sarah katika mpambano huu wa mwisho akicheza kwa hadhari ili asiumie,kwavile msimu ujao anataka kucheza katika Ligi ya mikoa na kuendelea ,kuichezea timu ya taifa ya chipukizi,Philipp amevinjari kuonesha kila kitu alichojifunza wiki hii nzima na kutamba uwanjani.Ingawa hakuna wakaguzi wanaosaka mastadi wa siku zijazo,lakini walimu wao wana mawasiliano na timu mashuhuri kuweza kutoa habari muangalieni Fulani.
Kwani, tulitaja kocha Peter Neururer binafsi ni kocha wa Bundesliga na Rudi Völler ni mkurugenzi wa Bayer Leverkusen-mojawapo ya timu zinazowalea chipukizi.
Shule za chipukizi leo ni muhimu ,kwani ukitaka kujua nguvu za timu yoyote ya taifa ya dimba angalia chipukizi wake.