Nchini Tanzania, watu waliofikisha umri wa miaka 60 na zaidi wanapaswa kupata huduma za afya bila malipo katika vituo vyote vya afya vya serikali. Hiyo ni kwa mujibu wa sera ya wazee ya mwaka 2003. Lakini je hali ikoje kuhusu sera hiyo. Anwar Mkama anaangazia hali ilivyo katika makala ya Afya Yako