Wakuu wa mataifa na serikali za Umoja wa Ulaya wamemteuwa Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani Ursula von der Leyen kushika nafasi ya Rais wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya. Lakini bado hajapata uhakika wa kukikalia kiti hicho. Mwanagaza wa Ulaya unaangazia safari ngumu inayomkabili.