JamiiTanzaniaSafari ya majaribio ya treni ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi DodomaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiTanzaniaYakub Talib23.04.202423 Aprili 2024Tanzania yafanya majaribio ya kwanza ya treni ya mwendo kasi inayotumia umeme kati ya jiji la Dar es Salaam na Mji Mkuu Dodoma. Mamlaka ya usafiri wa reli TRC inasema itaanza kutoa huduma hiyo kwa ukamilifu kufikia mwezi Julai. #Kurunzihttps://p.dw.com/p/4f4KNMatangazo