1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ruge Mutahaba amefariki Dunia

Caro Robi
27 Februari 2019

Aliyekuwa mkurugenzi wa vipindi wa Clouds Media Group Ruge Mutahaba amefariki dunia nchini Afrika Kusini alipokuwa akipata matibabu kwa muda mrefu.

https://p.dw.com/p/3EBrP