Picha: Kay Nietfeld/dpa/picture alliancePicha: Kay Nietfeld/dpa/picture alliance
Robert Habeck
Robert Habeck ni mwanasiasa wa Chama cha Kijani ambaye aliteuliwa kuwa waziri wa uchumi na nishati, na pia naibu kansela katika serikali ya mseto inayoongozwa na SPD nchini Ujerumani mwaka 2021.