Baraza la Habari nchini Tanzania limetoa ripoti mpya ya hali ya vyombo vya habari nchini humo kwa mwaka 2020/21 iliyobainisha uminywaji wa vyombo vya habari na jinsi hali hiyo ilivyoathiri uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 na matukio kadhaa ya uvunjwaji wa haki za binadamu. Sikiliza ripoti ya Florence Majani kutoka Dar es Salaam.