Ripoti ya Haki za Binaadamu nchini Burundi21.07.200821 Julai 2008Shirika la Kutetea haki za binadamu nchini Burundi Iteeka limetoa ripoti yake ya mwaka hii leo inayotathmini hali nchini humo.https://p.dw.com/p/EgOwMatangazo Ripoti hiyo imebaini kutoweka kwa raia wa Burundi kuwa na matumaini ya haki ya kuishi. Mwandishi wetu Amida Issa kutoka Bujumbura ana ripoti kamili.