Rais Donald Trump wa Marekani ameingia katika mgogoro mwingine baada ya ule wa kuziita nchi za afrika "uvundo", ikionekana kama mtazamo wake huo haujabadili kwa kitendo chake cha sasa cha kupinga kile alichodai ni sera za kupora ardhi na madai ya mauwaji ya wakulima wa Kizungu huko Afrika Kusini. Sikiliza mahojiano ya Sudi Mnette na mchambuzi wa siasa za Marekani Nicolas Boaz aliye Washington.