1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wananchi wa Goma wakimbia mapigano yanayoukaribia mji huo

27 Oktoba 2023

Miongoni mwa yaliyomo katika Afrika Wiiki hii ni pamoja na mapigano kati ya jeshi la waasi wa M23 huko mashariki mwa Kongo yaukaribia kabisa mji wa Goma huku mamia wakikimbilia usalama nje ya mji huo. Nchini Msumbiji watu 2 wauwawa kufuatia maandamano yaliyozuka nchi nzima kupinga matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa.Na jeshi la Sudan na wanamgambo wa RSF warejea kwenye mazungumzo ya amani

https://p.dw.com/p/4Y7oZ