Afrika Kusini ni nchi mojawapo ulimwenguni yenye pengo kubwa kati ya matajiri na maskini. DW inachunguza hali halisi ya matabaka yote mawili, ikikupeleka kwenye vitongoji maskini vya Soweto, hadi kwenye majumba ya kifahari huko Durban. #vijanamubashara #timizandotozako #durban #soweto