1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Pele, kiboko ya mabeki

3 Januari 2023

Uhodari wa Pele katika ulingo wa soka uliwasisimua mashabiki kutoka kila pembe ya dunia. Gwiji huyo wa Brazil alianza kusakata kabumbu akiwa na umri mdogo wa miaka 15 akiichezea klabu ya Santos. Nyota yake ya soka iling’aa katika mashindano ya Kombe la Dunia la FIFA la mwaka 1958 nchini Sweden. Tazama video hii fupi, jinsi zama zake alivyokuwa akiwatesa mabeki wa timu pinzani.

https://p.dw.com/p/4Lh3O
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio