Inakadiriwa zaidi ya asilimia 95 ya idadi ya watu ulimwenguni wanaugua ugonjwa wa Hemophilia ambao damu inashindwa kukata punde inapotoka kwenye jeraha la mwili wa mwanadamu. Leo Katika Kurunzi Afya tunakujuza undani wa tatizo hilo ambalo humpata mtu mmoja kati ya kila watu elfu 10.