1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ongezeko na gharama ya mifuko ya plastiki kwa mazingira

Anuary Mkama10 Julai 2014

Australia hutumia zaidi ya dola milioni 2 kwa mwaka kuokota takataka za mifuko ya plastiki, licha ya kuwa yenyewe ni moja ya nchi zilizoendelea, hii ikimaanisha kuwa hali ni mbaya zaidi kwenye mataifa masikini.

https://p.dw.com/p/1CZVN
Mfuko wa plastiki ukiwa chini ya bahari, ambako hfanya asilimia 90 ya uchafu unaokutikana huko.
Mfuko wa plastiki ukiwa chini ya bahari, ambako hfanya asilimia 90 ya uchafu unaokutikana huko.Picha: picture alliance/WILDLIFE

Katika makala hii ya Mtu na Mazingira, Anuary Mkama anaangazia ongezeko la uchafu wa mifuko ya plastiki duniani na gharama yake kwa mazingira na viumbe vyenye uhai, hasa samaki na wale wanaotegemea bahari kwa maisha yao ya kila siku.

Kusikiliza makala nzima, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mhariri: Mohammed Khelef