1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ndondi kuwasaidia wasichana kujilinda Afrika Kusini

Sylvia Mwehozi
4 Juni 2019

Thembisa Ngamlana alinusurika shambulio la uchomaji kisu wakati akiwa na miaka 20. Ilimtisha lakini pia kumpa hamasa ya kuhakikisha wasichana wadogo wanaweza kujikinga dhidi ya unyanyasaji kijinsia. Vijana Mubashara

https://p.dw.com/p/3JpRd