1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwangaza wa Ulaya: Ushirikiano baina ya Umoja wa Ulaya na China

16 Novemba 2022

Katika kipindi cha mwangaza wa ulaya wiki hii,Bakari Ubena anaangazia jinsi China ambayo katika miaka ya hivi karibuni imejizatiti kiuchumi na hata kijeshi imekuwa tishio kwa mataifa makubwa duniani hususan ya barani Ulaya. Vita vya Ukraine vimeonyesha hitaji la mataifa ya Ulaya kuwa makini na utegemezi wao kwa China ambayo pia imeonekana kuongeza ushawishi wake duniani.

https://p.dw.com/p/4Jc8x